Loading...
BOW WOW ATANGAZA KUSTAAFU KUFANYA MUZIKI

BOW WOW ATANGAZA KUSTAAFU KUFANYA MUZIKI

0

Bow Wow
Msanii Bow Wow ametangaza rasmi kuwa atatoa Albam moja ya mwisho na baada ya hiyo albamu ataacha rasmi muziki. Alisisitiza kuwa Ilikuwa ni mipango yake kustaafu kufanya muziki akiwa na miaka 30.

Kupitia mtandao wake wa Twitter aliandika  haya maneno kueleza sabau ya kuacha au kustaafu  kufanya muziki muziki

“I always said years ago i’d retire from music before 30. I just cant see myself at 30 years old rapping”
Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY