BREAKING NEWS: MANCHESTER UNITED WATOA TAMKO RASMI KUHUSU UJIO WA POGBA

BREAKING NEWS: MANCHESTER UNITED WATOA TAMKO RASMI KUHUSU UJIO WA POGBA

0


Club ya Manchester United imethibitisha kuhusu Taarifa za Usajilli wa mchezaji Paul POGBA, huku wakitumia Hashtag ya #PogBack wakimaanisha #KurudiKwaPogba ambaye aliwahi kukipiga Manchester United.
Kupitia mtandao wao wa ManUtd.com wameandika

” Paul Pogba has been granted permission to have a medical in order to finalise his transfer from Juventus to Manchester United. ” 

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY