Loading...
NDEGE YA KAMPUNI YA EMIRATES IMEPATA AJALI DUBAI

NDEGE YA KAMPUNI YA EMIRATES IMEPATA AJALI DUBAI

0


Ndege ya kampuni ya ndege ya Emirates iliyokuwa ikitokea India imepata ajali katika uwanja wa ndege wa Dubai, Ndege hiyo iliyoripotiwa kuwa na Abiria 275 ambao hata hivyo wameripotiwa kuwa salama.

Inasemekana tatizo hasa lilikuwa kwenye Engine ambayo imesababisha Ndege hiyo kutoa moshi wakati inashuka.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY