Loading...
” CHRISTIAN RONALDO HAIINGII KWA MAVUGO ” UNAJUA NI KAULI YA NANI...

” CHRISTIAN RONALDO HAIINGII KWA MAVUGO ” UNAJUA NI KAULI YA NANI HII KUTOKA SIMBA SC?

0

Mara baada ya Simba kupata Ushindi mkubwa katika mechi yao Dhidi ya AFC Leopard Kutoka  Kenya Moja kati ya waliowahi kuwa Mwenyekiti wa Timu hiyo Ndugu Hassan Dalali alifunguka kuwa ” Christian Ronaldo Haingii kwa MAVUGO “

Akimaanisha uwezo wa Mavugo ni mkubwa sana kushinda hata wa Christian Ronaldo, Dalali aliyasema hayo alipokuwa akiongea na Kipindi cha Michezo Rfa mara baada ya mechi hiyo kumalizika.

Habari Nyingine : Tetesi za Usajili Majuu leo tarehe 9/8/2016 bonyeza HAPA
Habari Nyingine : Habari zote za Magazeti ya Leo tarehe 9/8/2016 na habari za michezo soma HAPA

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY