DARASSA AFUNGUKA KAMA ANAMAHUSIANO NA LINAH SANGA AMA HANA

DARASSA AFUNGUKA KAMA ANAMAHUSIANO NA LINAH SANGA AMA HANA

0

Msanii Darassa ambaye siku kadhaa aliwaacha watu wengi na maswali kuhusu Uhusiano wake na Linah kimapenzi baada ya Linah kudai kuwa anapenda mumewe au mpenzi wake awe kama alivyo darassa.

Basi Darassa kupitia kipindi cha cha Bongo Fleva cha Clouds fm amefunguka kuwa hana mahusiano yoyote na Msanii huyo zaidi ya kwamba wanaheshimiana sana, Darassa pia alifunguka kuwa watu inawezekana walimwelewa vibaya tu Linnah.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY