DIAMOND PLATNUMZ ATOA MSAADA KWA AJILI YA WATOTO WENYE MATATIZO YA VICHWA...

DIAMOND PLATNUMZ ATOA MSAADA KWA AJILI YA WATOTO WENYE MATATIZO YA VICHWA VIKUBWA NA MGONGO WAZI

0

Msanii Diamond Platnumz ametoa msaada kwa ajili ya watoto wenye Vichwa Vikubwa kupitia kampuni ya GSM FOUNDATION .
Kupitia mtandao wake wa Instagram aliandika

” Moyo Wangu unaniambia nisingeshikwa mkono au kusaidiwa na watu basi nami nisingeweza leo hii  hatua hii ndogo niliyofikia … na ndiyo maana #Kidogo nikipatacho huwa napenda kusaidia wenzangu , Leo mapema nilitembelea ofisi za GSM FOUNDATION Kuwasilisha kidogo tulichobarikiwa kwa niaba ya wcb kwa ajili ya kuwasaidia watoto wenye matatizo ya vichwa vikubwa (Bobble Head Syndrome) na Mgongo wazi.”

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY