DEMO
DOGO JANJA ANAKULETEA WIMBO MPYA UNAOITWA KIDEBE, UKO HAPA

DOGO JANJA ANAKULETEA WIMBO MPYA UNAOITWA KIDEBE, UKO HAPA

0


Tip Top Connection ambayo ndiyo inayomsimamia Msanii Dogo janja ambaye anatamba na goma lake la My Life, Leo anatarajia kuachia ngoma yake mpya inayoitwa Kidebe.

Ambao umesukwa pale Mj Records na ma Producer Marco Chali na mdogo wake Daxo Chali.


Habari Nyingine : Download Wimbo mpya wa Chege akiwa na Diamond Platnumz – Acha waoane mp3

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY