Loading...
DRAKE AMSIFIA RAPPER J.COLE KWENYE TOUR YAKE YA SUMMER SIXTEEN

DRAKE AMSIFIA RAPPER J.COLE KWENYE TOUR YAKE YA SUMMER SIXTEEN

0

Drake ambaye inaelezwa kuwa yupo katika bifu kubwa na Eminem kwasasa jana katika  Summer Sixteen Tour alimpandisha Rapper mwenzake J.COLE jukwaani kisha akaanza kumsifia J.Cole.

Drake alifunguka kuwa unapomuangalia J.Cole unamuongelea Rapper Mtanashati,  Rapper mkubwa zaidi (kisanaa),  Na Mkongwe zaidi kwenye kizazi chao.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY