DRAKE NA KANYE WEST KUJA NA ALBAM YA PAMOJA

DRAKE NA KANYE WEST KUJA NA ALBAM YA PAMOJA

0

Kanye West na Drake wanategemea kutengeneza Albamu ya pamoja, hali hiyo imezua maswali mengi sana kwa wapenzi wa muziki huku baadhi wakijaribu kulinganisha kama itakuwa kali kuliko Watch the Thrown ya Jay z na Kanye waliposhirikiana.

Tuisubiri albamu hiyo ya wanyama hawa waili yani Drake na Kanye West

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY