FAHAMU MKWANJA ALIOPATA BEYONCE KWENYE “WORLD FORMATION TOUR” AWAMU YA KWANZA, NI...

FAHAMU MKWANJA ALIOPATA BEYONCE KWENYE “WORLD FORMATION TOUR” AWAMU YA KWANZA, NI BALAA

0

Beyonce au kama anavyojiita queen Bey akiwa ndiyo kamaliza Tour yake ya kwanza kati ya nne ambapo hii ya kwanza alipiga show Marekani Kaskazini na Canada kwenye Tour inayoitwa  “World Formation”
beyonce-formation-world-tour
Sasa unaambiwa mpaka sasa  kwa show alizofanya Marekani ya Kaskazini na Canada ameshaingiza Us Dollar 123 millions sawa na  shilingi  269,191,650,000 zaidi ya Billion 260 za kibongo,   Karibu kila show yake kiingilio kilikuwa Takribani shilingi Laki nane (800,000/= ) kwa mtu mmoja

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY