DEMO
FID Q AAHIDI JAMBO KUBWA KWA MASHABIKI WAKE

FID Q AAHIDI JAMBO KUBWA KWA MASHABIKI WAKE

0
Rapper Fid Q ambaye toka Ametoa Walk it off ngoma ambayo imemletea mafanikio makubwa ndani na nje ya nchi hajatoa tena wimbo zaidi ya collabo za hapa na pale.
Kupitia mitandao ya Instagram na Twitter Fid Q alituma video akichana  huku maelezeo ya chini ya video yakisema kabla ngoma mpya ngoja aanze na Warm Up huku Songa akionekana kwenye Video hiyo.
Maelezo ni kama yanavyoonekana hapa chini.

Habari nyingine : DARASSA AZIDI KUWAKOSHA MASHABIKI WAKE BAADA YA KUFANYA HILI

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY