Loading...
GARI LA JAJI LALIPULIWA KWA BOMU LA KUTENGWA NA KUUA WATU 13

GARI LA JAJI LALIPULIWA KWA BOMU LA KUTENGWA NA KUUA WATU 13

0


Kumetokea mlipuko wa Bomu katika mji wa Quetta nchini Pakistan katika gari la Jaji mmoja na kusabisha vifo vya watu 13 wakimemo polisi na raia wengine kadhaa.
Siku tatu zilizopita Watu zaidi ya 70 waliuawa pia mara baada ya bomu lililolenga mawakili kulipuka nchini Pakistan.

Daily Mail

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY