Loading...
GARY NEVILLE AONGEZEWA PESA KIBAO BAADA YA KURUDI SKY SPORTS KAMA MCHAMBUZI...

GARY NEVILLE AONGEZEWA PESA KIBAO BAADA YA KURUDI SKY SPORTS KAMA MCHAMBUZI WA SOKA

0


Gary Neville ameongeza takribani pound 300,000 baada ya kurejea Sky Sports kama mchambuzi wa soka ambapo kwasasa Ataingiza takribani pound milioni  1.5  tofauti na mara ya mwisho ambapo alikuwa akipokea pound milioni 1.2 alipokuwa kama mchambuzi wa soka Sky Sports kabla ya kurejea na kusaini mkataba wa kulipwa pesa yote hiyo.Ongezeko hilo ni zaidi ya milioni mia sita (600,000) ZA kitanzania,

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY