GARY NEVILLE AREJEA KUWA MCHAMBUZI SKY SPORTS

GARY NEVILLE AREJEA KUWA MCHAMBUZI SKY SPORTS

0


Mchezaji wa zamani wa MANCHESTER UNITED Gary Neville ambaye amewahi kuwa mchambuzi Skysports kabla ya kutimkia kuwa meneja katika club ya Valencia ya Hispania ambako hakufanya vizuri, akaamua kupiga chini.

Basi taarifa zilizoripotiwa ni kwamba Gary Neville amerejea Sky Sports kama Mchambuzi wa Soka na atakuwa na jopo kwenye uchambuzi kwenye msimu huu unaotarajiwa kuanza siku si nyingi kutoka sasa.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY