HUU NDIYO MWEZI AMBAO DIAMOND NA ZARI WANATARAJIA KUPATA MTOTO WA PILI

HUU NDIYO MWEZI AMBAO DIAMOND NA ZARI WANATARAJIA KUPATA MTOTO WA PILI

0

Msanii Diamond Platnumz hacheleweshi aisee, kupitia kipindi cha Leo tena  Diamond Platnumz amefunguka kuwa anatarajia kupata mtoto wa pili mwezi wa kumi na mbili 12 (December) mwaka huu.

Na Diamond na Zari wanatarajia kupata mtoto wa Kiume, na amefunguka pia kwasasa anataka amalize kabisa masuala ya uzazi ili waje waanze kula bata tu na Zari.

Habari Nyingine :

MUONEKANO MPYA WA NYWELE WA RAYMOND (RAYVANNY)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY