INSTAGRAM WAIGA SNAPCHAT

INSTAGRAM WAIGA SNAPCHAT

0

Mtandao wa kijamii wa picha na video fupi wa Instagram umekuja na kitu kipya katika mtandao wao lakini si kipya kwa watumiaji wa Snap chat  ambapo mtu anaweza kusambaza kile kinachofanyika kwa wakati huo huo huku Instagram wakiita Instagram Stories.

Hiki kitu mwanzoni hakikuwepo mwanzoni, watumiaji wengi wa mtandao huo wameonyesha kupokea kwa furaha jambo hili huku wengine wakisema kabisa RIP SNAPCHAT

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY