Loading...
JOSE MOURINHO AMDISS CRISTIANO RONALDO,AONYESHA WAZI KUTOTHAMINI MCHANGO WA RONALDO KWENYE...

JOSE MOURINHO AMDISS CRISTIANO RONALDO,AONYESHA WAZI KUTOTHAMINI MCHANGO WA RONALDO KWENYE HILI

0

Cristiano Ronaldo
Kocha wa Manchester United  Jose Mourinho  Amefunguka kuhusu kama kitendo cha Cristiano Ronaldo Kusimama kama Kocha kwenye fainali za Euro kulisaidia Ureno kupata ushindi dhidi ya Ufaransa.

Mourinho amefunguka na kusema kuwa ” Cristiano Ronaldo hakusaidia kwa chochote Ureno kupata ushindi katika mechi hiyo, Kulikuwa na wachezaji 11 wakifanya kazi yao, na mtu aliyetakiwa kuwaelekeza cha kufanya alikuwa ni kocha”


Mourinho alizidi kuongea kuwa kitendo cha Ronaldo kusimama kama kocha ilikuwa ni kama kuwaongezea pressure wachezaji dakika za majeruhi wakati kila mchezaji alikuwa anajua anataka kitu gani.

Mourinho amekuwa hana mahusiano mazuri na Mreno mwenzake huyo CR7, hali ambayo imekuwa ikiwafanya watu waamini kuwa wanabifu ya chini kwa chini.
Mourinho ameyasema hayo wakati anatoa maoni yake kwenye Portugal Sport Tv

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY