JOSE MOURINHO AWAJIBU KWA KEJELI ARSENE WENGER NA JURGEN KLOPP KUHUSU USAJILI...

JOSE MOURINHO AWAJIBU KWA KEJELI ARSENE WENGER NA JURGEN KLOPP KUHUSU USAJILI WA PESA NYINGI WA POGBA

0

Jose Mourinho
Kocha JOSE MOURINHO ambaye ni kocha muongeaji na huwa hawazi kutoa makavu yake ameamua kuwachana ARsene Wenger ambaye ni kocha wa Arsenal Na Jurgen Klopp ambaye ni kocha wa Liverpool baada ya Makocha hao kusema hawawezi kumsajili mchezaji kama Paul Pogba kwa pesa kama waliomsajilia Manchester United.

Mourinho kaamua kufunguka na kuwajibu Makocha hao na Kusema ”  Makocha hao hawawezi kuingia katika Record kubwa za gharama kama walizoingia Man U kwa Pogba kwasababu timu zao sio Timu Kubwa kiasi cha kutoa fedha zote hizo. “


Tetesi Cha Usajili leo jumatano 10/09/2016 Bonyeza HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY