KAMA SHILOLE ASINGEBAKWA BASI LABDA ASINGEKUWA MSANII,ANGEKUWA HIVI

KAMA SHILOLE ASINGEBAKWA BASI LABDA ASINGEKUWA MSANII,ANGEKUWA HIVI

0


Shilole moja kati ya wasanii wa kike waliowahi kubakwa wakiwa na umri mdogo, Shilole alibakwa akiwa na miaka 14 hali iliyomfanya mipango yake mingi kukwama.

Shilole akiongea kupitia FNL ya East Africa Radio na East Africa Tv amesema yeye ndoto zake zilikuwa awe Rubani wakati anasoma.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY