Loading...
KUELEKEA LIGI KUU YA EPL,FAHAMU TORRES KATABIRIA TIMU GANI KUCHUKUA UBINGWA

KUELEKEA LIGI KUU YA EPL,FAHAMU TORRES KATABIRIA TIMU GANI KUCHUKUA UBINGWA

0


Mcheza Fernando Torres ambaye kwasasa anakipiga katika club ya Atletico Madrid ya nchini Hispania ameitabiria  Club Ya Tottenham Kubeba ndoo ya Ligi kuu ya Uingereza EPL.

Torres amefunguka kuwa kocha wa timu ya Tottenham Mauricio Pochettino anafanya kazi nzuri kwa kuwaunganisha vijana na wachezaji wakongwe.

Alisema pia kuwa ” msimu ulioisha wa ligi kuu ya EPL Tottenham walikuwa na nafasi kubwa sana ya kuchukua Ubingwa licha ya Kuukosa ila mwaka huu wanaweza wakaubeba ubingwa huo “

chanzo www.givemesports.com

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY