Loading...
LIST YA MASTAA WALIOWAHI KUTOKA NA GIGY MONEY KIMAPENZI (WAMO MTU NA...

LIST YA MASTAA WALIOWAHI KUTOKA NA GIGY MONEY KIMAPENZI (WAMO MTU NA KAKA YAKE, MTANGAZAJI,BONGO MOVIE NA BONGO FLEVA)

0


Katika list hiyo wamo Ndugu wawili yani Ali Kiba na Abdu Kiba, Yupo mtangazaji wa Kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds tv  Casto Dickson , yupo staa wa Bongo Movie Hemedy Phd, Na wabongo fleva Rich Mavoko na Harmonize.

Gigy Money alitaja list hii alipokuwa akihojiwa kwenye kipindi cha Take One cha Clouds Tv  ambacho huwa kinaruka kila jumanne usiku.

1. ALIKIBA
2. ABDU KIBA
3. CASTRO DICKSON
4. HAMED PHD
5. RICH MAVOKO
6. HARMONIZE

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY