LUIS NANI,MCHEZAJI ALIYEPITIA MAISHA YA TAABU KABLA YA KUWA STAR WA SOKA

LUIS NANI,MCHEZAJI ALIYEPITIA MAISHA YA TAABU KABLA YA KUWA STAR WA SOKA

0

  • Baba yake Louis Nani alifariki kipindi ambacho Nani alikuwa na miaka 7.

  • Miaka mitano baadae Mama Yake naye  alifariki Nani akiwa na miaka 12.

   Habari Nyingine: Fahamu Torres Katabiri timu gani itakuwa bingwa ligi kuu ya England

  • Yeye na ndugu zake 9 kaka na dada walilazimika kukaa kwa shangazi yao, huku wakilala watu sita kwenye chumba kimoja wakiwa pamoja na watoto wa shangazi yao.

  • Kutokana na hali ya Shangazi yao kutokuwa vizuri kifedha mara nyingi walilazimika kula mlo mmoja tu kwa siku.

Ila leo ni Star na ameshacheza vilabu vikubwa tu kama Manchester United ya Uingereza, na ni mmoja kati ya wachezaji waliosaidia kutwaa ubingwa wa Euro mwaka huu na hata wakati wanachukua Ubingwa ndani ya uwanja yeye ndiye alikuwa kama Team Captain mara baada ya Cristiano Ronaldo Kuumia.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY