Loading...
MAAJABU : MTOTO AZALIWA AKIWA NDANI YA KIFUKO CHA UZAZI(AMNIOTIC SAC) HII...

MAAJABU : MTOTO AZALIWA AKIWA NDANI YA KIFUKO CHA UZAZI(AMNIOTIC SAC) HII HUTOKEA MARA 1 KATI YA WATOTO 80,000

0

Amazing: The moment this newborn baby was delivered still inside the amniotic sac was captured on video in Spain on Saturday. The video shows the baby moving inside the clear sac on a hospital table as doctors and nurses watch on
Tukio hili limetokea nchini Hispania ambapo mtoto huyu amezaliwa akiwa bado yumo ndani ya mfuko ambao ndiyo mtoto huwa anakuwa, na mfuko huo unaojulikana kama Amniotic Sac huwa unapasuka muda mfupi kabla ya mama hajajifungua.

Mtoto huyo alikutwa yuko hivyo dakika chache mara baada ya pacha wake kutoka bila kijifuko hicho. Wataalamu wanasema hali kama hii huwa ni nadra sana kutokea duniani, huweza kutokea mara moja kati ya watoto 80,000
Video hii hapa chini.

picha na video Credit: Daily Mail

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY