Loading...
MATOKEO YA INTERNATIONAL CHAMPION CUP (MADRID VS BAYERN,BARCELONA VS LEICESTER NA...

MATOKEO YA INTERNATIONAL CHAMPION CUP (MADRID VS BAYERN,BARCELONA VS LEICESTER NA AC MILLAN VS CHELSEA)

0

Haya ndiyo matokeo kama yanavyoonekana katika picha 
  • Magoli ya Barcelona yamefungwa na Haddad magoli mawili , Suares na Majacca goli moja moja ., Huku magoli ya LEICESTER CITY yakifungwa na Ahmed Mussa.
  • Goli la Real Madrid limefungwa na Danilo
  • Magoli ya Chelsea yamefungwa na Traole, huku Oscar akifunga mawili. Goli la Ac Milan limefungwa na Bonaventure.
Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY