Loading...
MWANAFUNZI WA KIKE DARASA LA SABA ATEKETEZA SHULE KWA MOTO

MWANAFUNZI WA KIKE DARASA LA SABA ATEKETEZA SHULE KWA MOTO

0

Kijana wa darasa la 7 ateketeza shule Mombasa (Picha)
Mwanafunzi mmoja wa kike ambaye anasoma darasa la saba katika shule ya  WASICHANA ya St. Augustine iliyoko jijini Mombasa huko nchini Kenya  ameteketeza Bweni la shule alimokuwa anakaa.
Kijana wa darasa la 7 ateketeza shule Mombasa (Picha)
Taarifa za ndani zinasema kuwa mwanafunzi huyo aliwasha godoro na alipoona moto unakuwa mkubwa aliamua kukimbia huku akipiga kelele, hata hivyo baadhi ya wanafunzi wenzake wanadai mwanafunzi huyo ni mtukutu kupindukia na hata hapo St. aUGUSTINE Alihamia mara baada ya kufukuzwa shule aliyokuwa akisoma awali.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY