Loading...
MZEE YUSUPH ATANGAZA KUACHA MUZIKI

MZEE YUSUPH ATANGAZA KUACHA MUZIKI

0

Msanii Mzee Yusuph anayejulikana pia kama Mfalme wa muziki wa Taarab ametangaza kuacha Kufanya shughuli zote za Muziki, kuimba na kutunga kama alivyokuwa akifanya kabla.

Mtoa taarifa wetu ametuambia kuwa sababu kubwa ni kuamua kumrudia Mungu, hata hivyo Mzee Yusuph anatarajiwa kufanya mkutano na waandishi wa habari siku si nyingi kutoka sasa ili kuelezea uamuzi wake.

Habari Nyingine : Treni yenye dhahabu zenye thamani zaidi ya bilioni 700 za kitanzaia yaanza kufukuliwa Ujerumani ilifukiwa zamani soma Zaidi kwa Kubonyeza HAPA

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY