NAY WA MITEGO NA BASATA WAMALIZANA ILA KWA MASHARTI HAYA

NAY WA MITEGO NA BASATA WAMALIZANA ILA KWA MASHARTI HAYA

0


Siku chache baada ya BASATA kuufungia wimbo wa Nay Wa Mitego ” Pale Kati” Nay wa Mitego ameibuka na Kusema wameshamalizana na BASATA kuhusu wimbo huo na sasa uko free kabisa kuchezwa na kila redio ila kwa masharti haya Kuna baadhi ya maneno imebidi yaondolewe kwenye wimbo huo .

 Nay Amesemakwasasa wimbo huo utakuwa na Version mbili ile ya mwanzo na nyingine ambayo BASATA wametaka baadhi ya maneno yaondolewe.Nay wa Mitego amesema pia wimbo huo utakuwa na Video nne

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY