Loading...
PAPA ATAJA MWANASOKA WAKE MKALI ZAIDI DUNIANI, NI MESSI AU RONALDO? SOMA...

PAPA ATAJA MWANASOKA WAKE MKALI ZAIDI DUNIANI, NI MESSI AU RONALDO? SOMA ZAIDI

0

Papa wa kanisa katoliki Duniani ” Pope Francis ”  ametaja mwanasoka ambaye anahisi ndiye mwanasoka bora wa muda wote Duniani. Papa akiwa ziarani nchini Poland alikuwa akipata chakula cha mchana Krakow ndipo vijana kama 12 walimfata huku mmoja kati yao akimuuliza ” Yupi mkali kati ya Maradonna na Pele ” ?

Jibu la Papa lilikuwa moja tu ” For Me, Messi ”  yani  ” Kwa Mimi, Messi”  Bila kutoa maelezo yoyote, kumekuwa na mizozo mingi sana  ya Nani mkali kati ya Ronaldo na Messi huku kila mtu akiwa na majibu yake kulingana uelewa wake.

HABARI NYINGINE: ONA STYLE ZA NYWELE MESSI NA RAMOS ZINAFANANA ZAMANI NA SASA

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY