PAUL MAKONDA ATAKA DAR IFANANE NA DUBAI

PAUL MAKONDA ATAKA DAR IFANANE NA DUBAI

0


Mkuu wa Dar Es Salaam Paul Makonda amefunguka kuwa anataka Dar Ifanane na Dubai kiasi kwamba ” mtu anaweza akasahau pochi  yake mahali na bado akarudi akaikuta.”

Alisema pia anataka ifike mahali Mkoa wa Dar Es Salaam uwe ndiyo mkoa wenye amani ili iwe wawekezaji wavutiwe kwenda Dar Es Salaam. aliyasema haya na mengine mengi alipokuwa akiongea na Polisi wa Dar Es Salaam

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY