RATIBA YA LIGI KUU YA UINGEREZA MECHI ZOTE ZA UFUNGUZI (FAHAMU MUDA...

RATIBA YA LIGI KUU YA UINGEREZA MECHI ZOTE ZA UFUNGUZI (FAHAMU MUDA WAKUANZA MECHI HIZO PIA)

0


Hii Hapa Ratiba ya Mechi za Ufunguzi wa Ligi Kuu Ya Uingereza Epl, ambayo mwaka huu Itaanza Kesho Agosti 13.
Kesho Jumamosi kutakuwa na mechi Saba, Kesho kutwa Jumapili kutakuwa na Mechi Mbili na Jumatatu kutakuwa na Mechi moja.

Habari Nyingine Timothy Mensah Akubali kuongeza Mkataba Manchester United,Soma Kujua zaidi HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY