DEMO
RAY C AANZA KUWA FITI, AANZA KUANDIKA NA MISTARI AKIWA SOBER

RAY C AANZA KUWA FITI, AANZA KUANDIKA NA MISTARI AKIWA SOBER

0

Hali ya Ray C inadaiwa imeanza kurejea vizuri akiwa Soba House ya kule Bagamoyo ambayo ndiyo msanii Chid Benz alipelekwa baada ya kukiri kutumia madawa, Kwa mujibu wa Boss wa kituo hicho Karim Bhanji amesema Ray C ameanza kuwa fiti na ameanza kuandika mistari ya nyimbo mbalimbali akiwa kituoni hapo.
Ray-new
Ray C mnamo mwezi wa sita alijikuta akikamatwa na polisi baada ya kudaiwa kuwa alitaka kujiua kwa kujichoma kisu baada ya kuzidiwa na madawa ya kuilevya.

GPL

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY