Loading...
Salam za Wema Sepetu kwa ‘Tiffah’ wa Diamond Platnumz

Salam za Wema Sepetu kwa ‘Tiffah’ wa Diamond Platnumz

0

Salam za Wema Sepetu kwa ‘Tiffah’ wa Diamond Platnumz

Agosti 6, 2016 ni siku ambayo anazaliwa mtoto wa staa wa kutokea  bongo fleva Diamond Platnumz ambapo pamoja na watu wengi kumtakia kila la kheri  yupo pia mrembo Wema Sepetu ambaye kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha ya Mtoto wa  Diamond akayaandika haya>>>Happy Birthday Princess Tee…🎈🎉🎁🎊🎀💝 May Allah bless your precious lil self… You will definitely turn out to be a phenomenal young woman’– Wema Sepetu
Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY