Simba Sc imeanza kuuza jezi zake, fahamu bei na mahali pa kuzipata

Simba Sc imeanza kuuza jezi zake, fahamu bei na mahali pa kuzipata

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Jezi mpya za Simba
Jezi mpya za Simba zimeanza kuuzwa Rasmi leo katika maduka ya Jamhuri na Kariakoo  na pia Kesho kukamilisha Simba day zitakuwepo pia uwanjani. na zitakuwa zikiuzwa kwa bei ya shilingi 20,000 kwa jezi.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY