Loading...
SIMBA YAFANYA KWELI “SIMBA DAY” YAWACHAKAZA VIBAYA AFC LEOPARDS YA KENYA

SIMBA YAFANYA KWELI “SIMBA DAY” YAWACHAKAZA VIBAYA AFC LEOPARDS YA KENYA

0

Timu ya Simba ya jijini Dar Es Salaam imefanikiwa kumaliza kilele cha Siku ya Simba maarufu kama ” Simba Day ” kwa kishindo mara baada ya Kuichapa AFC Leopards kutoka Kenya kwa Bao 4 KWA 0.
Magoli ya Simba yamefungwa na Ajib ( 2 ), Mavugo na Kichuya.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY