DEMO
STRAIKA WA KIMATAIFA WA SIMBA ATUA TANZANIA KUUNGANA NA TIMU HIYO,APOKEWA...

STRAIKA WA KIMATAIFA WA SIMBA ATUA TANZANIA KUUNGANA NA TIMU HIYO,APOKEWA KWA MBWEMBWE

0
Straika mpya wa  kimataifa wa Simba ambaye ujio wake uliingiwa na story nyingi ikiwemo story ya Simba kutapeliwa na straika huyo baada ya kusemekana amekula pesa ya usajili kisha akaondoka zake Ufaransa.
Jina la Laudit Mavugo lilisumbua sana vyombo vya habari ila hatimaye usiku wa tarehe 3 mwezi wa nane hatimaye wapenzi, wanachama  na washabiki wa Simba Wamempokea kwa mbwembwe Straika huyo mara baada ya kutua nchini. Alipotua tu alikabidhiwa jezi namba 45 iliyoandikwa jina lake la Mavugo.
Mavugo ni Mchezaji raia wa Burundi

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY