TAFITI: PAPA ALIYEZALIWA MWAKA 1624 APATIKANA,NDIYE KIUMBE MREFU ZAIDI DUNIANI FAHAMU UREFU...

TAFITI: PAPA ALIYEZALIWA MWAKA 1624 APATIKANA,NDIYE KIUMBE MREFU ZAIDI DUNIANI FAHAMU UREFU WAKE

0


Utafiti huo umefanywa na wanasayansi wa kimataifa wakishirikiana na vyuo vya University of Copenhagen  na Oxford, Wanasayansi hao wamemchunguza Papa huyo na kubaini kuwa anamiaka 392.

Papa huyo alikuwa ni mmoja kati ya papa 28 waliofanyiwa uchunguzi wa umri huko North Atlantic , kwasasa Papa huyo inaaminika ndiye Kiumbe Mrefu zaidi  anayeishi akiwa na urefu wa Futi 21 sawa na Centimeter 640.
Baada ya uchunguzi wa wanasayansi hao wamebaini kuwa Umri wa kuishi wa kawaida wa Papa hao aina ya Greenland yani Greenland Shark ni miaka 272

Habari Nyingine : Treni yenye dhahabu zenye thamani zaidi ya bilioni 700 za kitanzaia yaanza kufukuliwa Ujerumani ilifukiwa zamani soma Zaidi kwa Kubonyeza HAPA

UTAFITI : Ipo siku Dunia hakutakuwa na Viumbe Hai, Soma zaidi HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY