TETESI ZA USAJILI MAJUU LEO AUGUST 1 ILIVYOANDIKWA KATIKA MAGAZETI MBALIMBALI...

TETESI ZA USAJILI MAJUU LEO AUGUST 1 ILIVYOANDIKWA KATIKA MAGAZETI MBALIMBALI UINGEREZA

0

Transfer rumours and paper review – Sunday, July 31: Arsene Wenger to move for former Manchester United defender? Romelu Lukaku latest and MORE

  • Manchester bado wanaamini ishu ya Pogba itamalizika na kiungo huyo kusaini mkataba wa miaka 5 kukipiga Manchester United,na Inaelezwa bado kidogo masuala yote yakamilike (Sky Sports)
  • Chelsea na Deal yao ya kumsajili Lukaku huenda ikaota mbao maana licha ya Chelsea kutangaza kuongeza dau mpaka pound million 68,kuna taarifa kutoka Everton zinadai club hiyo haina tena mpango wa kumuuza Lukaku (DAILY MIRROR)
  • Everton iko tayari kutoa pound million 9 kwa Southampton  ili kumsajili beki wa kati raia wa Ureno Jose Fonte ( DAILY RECORD)
  • Chelsea inatarajiwa kumsajili golikipa kinda  mwenye umri wa miaka 16 toka Academy ya Barcelona  anaitwa Marcin Bulka (Metro)
  • David Moyes ambaye amekula deal siku chache kuifundisha Sunderland yuko mbioni Kumsajili Adnan Janujaz ambaye hatakiwi na Jose Mourinho pale United na anamtaka pia Striker Will Keane. (Daily Express)
  • West ham  imekubali kumuuza mshambuliaji wao Diafra Sakho kwenda West Brom kwa ada ya uhamisho ya pound million 15.(Daily Mail)

Habari Nyingine ; Tetesi za Usajili July 31 

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY