Loading...
TETESI ZA USAJILI NA HABARI ZA KISOKA MAJUU LEO AUGUST 2

TETESI ZA USAJILI NA HABARI ZA KISOKA MAJUU LEO AUGUST 2

0

 • Transfer rumours and paper review – Sunday, July 31: Arsene Wenger to move for former Manchester United defender? Romelu Lukaku latest and MORE
 • Napoli imefanikiwa kumsainisha Mshambuliaji wa Ajax  Arkaduisz Milik kwa mkataba wa miaka mitano kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 34.
 • Manchester City imefanikiwa kumsainisha  Leroy Sane  amabapo Sane amesajiliwa kwa kandarasi ya miaka 5.
 • Galatasaray imetajwa kumuhitaji Kiungo wa Liverpool Lucas Leiva wakati ambao Klopp anapambana kumbakiza kiungo huyo Anfield (Mail Sports)
 • Bastian Schweinsteiger  huenda akarudi kwenye Club ya Bayern Munich mara baada Mourinho kusema kuwa hana mipango naye Man U(Sky sports)
 • Jurgen Klopp amesema Liverpool bado inanafasi kubwa ya kufanya mambo makubwa licha ya kipigo kutoka kwa Ac Roma ( Mail Sports)
 • Kocha wa Zamani wa Man U, Moyes amefunguka na Kusema kuondolewa kwake United hakukufata Haki, anaona alionewa ( Espn )
 • Mchezaji Kiungo wa zamani wa Arsenal na Barcelona amejiunga na Club ya Rubin Kazan. (Mail Sports)
 • Timu ya Arsenal bado iko katika mbio ya kuhakikisha inafanikisha usajili wa mchezaji kutoka Lyon ya Ufaransa Alexandre Lacazzete 
 • Diego Costa anatarajiwa kuwa fiti mara baada ya kuwa nje kidogo kufatia  kuumia.
 • Manchester United na Tottenham zimeonyesha utayari wa kumsajili mchezaji  Lassana Diara (TalkFootball)
Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY