TETESI ZA USAJILI NA HABARI ZA KISOKA MAJUU LEO JUMATANO AUGUST...

TETESI ZA USAJILI NA HABARI ZA KISOKA MAJUU LEO JUMATANO AUGUST 10 (10/8/2016) KAMA MAGAZETI YA NJE YALIVYOANDIKA

0

Transfer rumours and paper review – Saturday, August 6: Premier League side bid £72million for James Rodriguez, plus Jurgen Klopp's warning
  • Arsenal wanajipanga kumsajili mchezaji Wilfred Bony ambaye hatakiwi na Man City, Arsenal wanajipanga kutoa pound milioni 30. (Daily Star) 
  • Leicester wanaandaa pound milioni 23 kumsajili mchezaji wa Santos Gabriel Barbosa anayejulikana pia kama Gabigol, Mchezaji huyo kwasasa yuko na timu ya taifa ya Brazili kwenye Olympics. (Daily Mail)
  • Allan Pardew yuko tayari kumuuza Bolasie ili kuweza kumnunua Benteke tokea Liverpool ambaye ada yake ya uhamisho inakadiriwa kuwa pound milion 32 (Daily Mirror)
  • Everton inategemea Changamoto ya kiushindani kutoka kwa Chelsea kwenye usajili wa Lamine Kone kutokea Sunderland (Newcastle Chronicle)
  • Sunderland wamekubali kutoa pound milionio 5.5 kama ada ya kuwasajili wachezaji wa Manchester United Paddy MacNAIR na Donald Love.(Daily Mail)
  • Liverpool Wanampango wa kumsajili mchezaji toka AS ROMA Leandro Peredes (Telegraph)
  • Kocha wa Sunderland anamuangalia Kiungo wa Norwich Steven Naismith kwa  pound milioni 8.(Daily Star)
  • John Stones ambaye jana ametia saini kuchezea Manchester City amesema anaamini ataifikisha Man City sehemu ambayo wengine wameshindwa Kuifikisha. (Telegraph)
  • Westham wanamwania winga tokea Lyon Rachid Ghezzal ambaye pia anawaniwa na Everton. (Daily Mirror)
  • Manchester United wamekataa maombi ya Real Madrid kumsajili De Gea (Telegraph)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY