TETESI ZA USAJILI NA HABARI ZA KISOKA MAJUU LEO AUGUST 11...

TETESI ZA USAJILI NA HABARI ZA KISOKA MAJUU LEO AUGUST 11 (11/8/2016) KAMA MAGAZETI YA NJE YALIVYOANDIKA

0

Transfer rumours and paper review – Saturday, August 6: Premier League side bid £72million for James Rodriguez, plus Jurgen Klopp's warning
TETESI ZA USAJILI LEO ALHAMISI YA TAREHE 11/8/2016 KIMATAIFA

  • Brazil imefanikiwa kuvuka mpaka hatua ya robo fainali ya michuano ya Olympics baada ya Kushinda kwa jumla ya goli 4 kwa bila dhidi ya Denmark. Brazil ilikuwa haijapata ushindi katika mechi zake mbili za mwanzo.
  • Gary Neville ameitaja Manchester United kama timu ambayo inaweza kubeba ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza huku akisema Ujio wa Ibrahimovic na Pogba kama nguzo kuu kuelekea ubingwa huo.(sky sports)
  • Juan Matta Huenda akatimkia zake Villarreal mara baada ya timu hiyo kuonyesha nia ya kumwitaji mchezaji huyo ambaye amekuwa akionekana kutokuwa na mahusiano mazuri na Mourinho (Goal.com)
  • Jurgen Klopp anaimani na kikosi chake cha Liverpool akiamini kuwa mwaka huu kuna timu zitakuwa hazipendi kukutana na Liverpool (Goal.com)
  • Jurgen Klopp amezuia uhamisho uliokuwa mbioni kukamilika wa Lucas Leiva kwenda Galatasaray ya Uturuki huku akisema anahofia sana majeruhi(Daily Mirror)
  • Arsenal wapo katika ushindani na Manchester City ili kunasa saini ya mchezaji tokea Galatasaray ya Uturuki  Jason Denayer(The Sun)
  • Timu ya Ajax imekubali dili la kumsajili kwa mkopo mchezaji wa Chelsea Traole kwa mkopo wa muda mrefu (De Telegraaf)
  • Lyon imetangaza Dau kwa timu zinazomtaka Lacazette kuwa ni pound milioni 60, Arsenal imekuwa ikitajwa sana kumuhitaji mchezaji huyu. (Daily Telegraph)
  • Mesut Ozil amefunguka kuwa kama Real Madrid watamuihitaji basi yuko tayari kurejea kwenye timu hiyo (Sport Bild)
  • Arsenal imetajwa kuwahitaji Lewandoski tokea Bayern Munich na Antonnie Griezmann  anayechezea Atletico Madrid (The Sun)

HABARI NYINGINE
Mama yake Pogba ashaanza kurudisha pesa aliyonunuliwa mwanaye kwa kununua jezi nyingi za Pogba ona HAPA
Ronaldo na Pepe wajiunga na wenzao  wa Reala Madrid mazoezini , Kusoma zaidi bonyeza HAPA
Habari kati magazeti ya Tanzania  leo August 11/ 2016 bonyeza HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY