TETESI ZA USAJILI NA HABARI ZA KISOKA MAJUU LEO AUGUST 3 (3/8/2016)...

TETESI ZA USAJILI NA HABARI ZA KISOKA MAJUU LEO AUGUST 3 (3/8/2016) KAMA MAGAZETI YA NJE YALIVYOANDIKA

0

  • Transfer rumours and paper review – Sunday, July 31: Arsene Wenger to move for former Manchester United defender? Romelu Lukaku latest and MOREGazeti moja la Algeria linalojulikana kama (Le Buteur ) limeandika kuwa Riyadh Mahrez amekubali kujiunga na Arsenal tokea Leicester City zote za Uingereza.
  • John Stones ambaye ni mchezaji wa Everton mwenye umri wa miaka 22  bado yupo katika list ya wachezaji wanaotakiwa sana na kocha Pep Guardiola (Daily Mirror)
  • Loic Remy anatajwa kama mchezaji ambaye atatumiwa na Chelsea ili kumbembeleza Lukaku kurejea katika club hiyo kwa ada ya uhamisho ya Pound milioni 65.(Daily Mail)
  • Madrid katika kuhakikisha inapata sign ya star wa NEWCASTLE Moussa Sissoko iko tayari kuachia wachezaji wake wawili Mariano Diaz na Marcos Llorente kwa mkopo ili kukipiga Newcastle (The Guardian)
  • Kocha wa timu ya Taifa ya Wales Chris Coleman  bado huenda akawa moja kati ya makocha watakaoifundisha Hull City licha ya chama cha soka cha Wales FAW kukataa kumwachia kocha huyo 
  • Nyota wa Tottenham Alex Pritchard huenda akajiunga na Brighton kwa kuvunja Rekodi ya usajili wa club hiyo.
  • Deal ya Chelsea ya kutaka kumsajili Alvaro Morata huenda ikayeyuka mara baada ya Kocha wa Real Madrid kufunguka kuwa bado anamipango mingi ya kumtumia mchezaji huyo.(Mirror Football)
  • Jurgen Klopp huenda akamsajili mchezaji raia wa Italia Mattia De Sciglio (Telegraph Football)
  • Arsenal inalenga kumsajili mchezaji Julian Draxler mara baada ya mchezaji huyo kutangaza kuwa anataka kuondoka Wolfburg ya nchini Ujerumani.
  • Manchester United inasubiri masaa tu Kumshuhudia Paul Pogba akijiunga Mitaa ya Old trafford kwa ajili ya vipimo vya afya, ambapo leo Mtandao mmoja wa nchini Italy unaojulikana kama 11 Tempo umeandika kuwa Pogba anatarijiwa  kutua United alhamis hii.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY