TETESI ZA USAJILI NA HABARI ZA KISOKA MAJUU LEO AUGUST 4 ...

TETESI ZA USAJILI NA HABARI ZA KISOKA MAJUU LEO AUGUST 4 (4/8/2016) KAMA MAGAZETI YA NJE YALIVYOANDIKA

0

Transfer rumours and paper review – Thursday, August 4: Man United on brink of Pogba deal, Premier League duo battle for Benteke and MORE
KARIBU KATIKA TAARIFA MBALIMBALI ZA KISOKA (TETESI NA HABARI NYINGINE ZA LEO AUGUST 4/2016


  • Paul Pogba kabla ya jumapili ambapo kutakuwa na ngao ya hisani atakuwa kashatua Manchester United kukamilisha deal yake ya kujiunga na United ambapo atakuwa analipwa pound 275 K.(Magazeti Mbali mbali)
  • Sunderland na  Everton wako katika ushindani wa kiwango cha pound million 30 kumsajili mshambuliaji wa Liverpool Christian Benteke.(Daily Mirror)
  • Liverpool wanataka kutangaza dau la pound milioni 20 kwa mjerumani mwenye miaka 26  anayekipiga Fc Koln.(The Sun)
  • Arsene WENGER ameambiwa na Uongozi wa Arsenal anaruhusiwa kutumia kiwango chochote cha fedha kuwasijili wachezaji Alexandre Lacazette  na Na Mlinzi wa Valencia Mustafi (The Times)
  • David Moyes anamatumaini ya kumsajili mchezaji winga kutoka Benfica ya Ureno Eduardo Salvio (Newcastle Chronicle)
  • Mchezaji wa kimataifa wa Ujerumani anayecheza Wolfburg ambaye pia alitangaza kutaka kusepa klabuni hapo huku Arsenal ikitajwa kumwuwania Dau lake limetangazwa  kuwa ni pound million 50 (Daily Star)
  • Antonio Konte wako karibu kuvunja record ya club hiyo kwa kumsajili Romelu Lukaku ambaye dau lake limeonekana kukua kila siku, Conte pia amesisistiza kuwa Diego Costa ataendelea kuwepo Chelsea  (London evening standard)
  • Licha ya Mourinho kusisitiza kuwa bado kuna saini ya mchezaji mmoja, amekataa kuthibitisha kama saini hiyo ni ya Pogba (espn)
  • Gabriel Jesus kijana mwenye miaka 19 amesainiwa na MAN CITY kwa mkataba wa miaka mitano. Gabriel Jesus amekuwa mchezaji mwenye kiwango cha juu sana huku baadhi ya watu wakimfananisha na Neymar Jr.(Telegraph)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY