Loading...
TETESI ZA USAJILI NA HABARI ZA KISOKA MAJUU LEO AUGUST 6 (6/8/2016)...

TETESI ZA USAJILI NA HABARI ZA KISOKA MAJUU LEO AUGUST 6 (6/8/2016) KAMA MAGAZETI YA NJE YALIVYOANDIKA

0

Transfer rumours and paper review – Saturday, August 6: Premier League side bid £72million for James Rodriguez, plus Jurgen Klopp's warning
Karibu katika Habari na tetesi za kisoka Majuu leo tarehe 6/8/2016
  • As Roma wako mbioni kumsajili mchezaji wa FC Barcelona Vermaelen (Espn)
  • Kuna timu ya Uingereza ambayo haijatajwa jina iko tayari kutoa dau la pound milioni  72 kumsajili mchezaji Raia wa Colombia anayekipiga Real Madrid James Rodriguez. (Marca)
  • Jurgen Klopp amewaonya Crystal Palace na vilabu vingine ambavyo vinamtaka Christian Benteke kwa kuwaambia kuwa mchezaji huyo hauzwi na hataenda popote zaidi ya Liverpool (Evening Standard)
  • Everton Wako katika mipango ya kumsajili mchezaji raia wa Ivory Coast anayecheza Manchester City Wilfried Bonny mwenye miaka 27 kwa ada ya  uhamisho ya pound million 15 (Sun)
  • Middlesbrough wanamatumaini ya kumsajili mtoto wa Zinedine Zidane Enzo mara baada ya Madrid kumruhusu kuwa anaweza akasajiliwa kwa mkopo.(Daily Mail)
  • Kiungo wa Newcastle Sissoko huenda akatimkia PSG kwa ada ya uhamisho ya pound million 35 (Daily Mirror)
  • Kocha wa Arsenal Amefunguka kuwa kwao Arsenal, Pesa ya usajili sio tatizo. (espn)
  • Manchester City Imemsaini Mchezaji raia wa Colombia Marlos Moreno kwa mkataba wa miaka mitano (5). (espn)
Vichwa vya habari kuhusu yanga na simba kama vilivyoandikwa kwenye magazeti ya tanzania leo 6/8/2016 HAPA
Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY