Loading...
TETESI ZA USAJILI NA HABARI ZA KISOKA MAJUU LEO AUGUST 7 (7/8/2016)...

TETESI ZA USAJILI NA HABARI ZA KISOKA MAJUU LEO AUGUST 7 (7/8/2016) KAMA MAGAZETI YA NJE YALIVYOANDIKA

0

 • TETESI ZA USAJILI NA HABARI ZA KISOKA MAJUU LEO AUGUST 7 (7/8/2016) KAMA MAGAZETI YA NJE YALIVYOANDIKA

 • Transfer rumours and paper review – Saturday, August 6: Premier League side bid £72million for James Rodriguez, plus Jurgen Klopp's warning
 • Paul Pogba ameshawasili Manchester United kwa siri jana Jumamosi  akitarajiwa kukamilisha vipimo vya kiafya. (Daily Mail)
 • Pep Guardiola bado haoni kama Joe Hart anafaa kuwa kipa namba moja wa Man City na anatarajia kumchukua kipa wa Barcelona Marc Andre Stegen (SUNDAY eXPRESS)
 • Tetesi kutoka Club ya Liverpool ni kwamba wako mbioni kumsajili kwa mkopo mchezaji kutoka Real Madrid Sign Martin Odegaard ila watakumbana na changamoto ya ushindani kutoka kwa Westham ambao nao wanamuhitaji. (Mirror)
 • Chelsea wako tayari kutoa ofa kwa Everton kwa kuwapa Loic Remy na Asmir Begovic kwa ajili ya kumchukua Romelu Lukaku (The Sun on Sunday)
 • Galatasaray inampango wa kuwasajili wachezaji wawili wa Manchester United Bastian Schweinsteiger na Antonio Valencia (Daily Star)
 • Ryan Gigs anatajwa kama Mrithi wa Chris Coleman kama kocha huyo wa timu ya taifa ya Wales atatimkia Hul City kama ilivyoripotiwa siku kadhaa zilizopita (Sunday Mirror)
 • Sundeland wanamsajili mchezaji wa zamani wa Chelsea anayecheza kama beki wa kati Papy Djilobodji (Sunderlands Echo)
 • Gary Neville amerejea Sky Sports kama mchambuzi wa soka, Neville mchezaji wa zamani wa Manchester United amewahi kuwa skysports kabla ya kutimkia Valencia kama kocha ambako hakufanya vizuri.
 • Arsene Wenger ametajwa kumgeukia James Rodriguez na Isco baada ya Mahrez ishu yake kuonekana kuota mbawa.(Telegraph Football)

HABARI NYINGINE :  Yalivyoandika MAGAZETI ya Tanzania kuhusu Yanga na Simba leo Bonyeza HAPA

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY