Loading...
TETESI ZA USAJILI NA HABARI ZA KISOKA MAJUU LEO AUGUST 8 (8/8/2016)...

TETESI ZA USAJILI NA HABARI ZA KISOKA MAJUU LEO AUGUST 8 (8/8/2016) KAMA MAGAZETI YA NJE YALIVYOANDIKA

0

  • Transfer rumours and paper review – Saturday, August 6: Premier League side bid £72million for James Rodriguez, plus Jurgen Klopp's warning
  • Wakala wa mchezaji Benteke amethibitisha kuwa Liverpool wako tayari kupokea Ofa yoyote ili  kumwachia Christian Benteke (Guardian)
  • Wiki hii Everton inampango wa kuhakikisha wanaongea na Romelu Lukaku ili kuhakikisha wanaongeza  na kuboresha mkataba wake, Lukaku amekuwa akitajwa kuwaniwa na Chelsea. (Daily Express)
  • Liverpool inatajwa kuwa katika mawindo makali ya kumnasa kinda  anayechezea timu ya taifa ya England  under 19  Ademola  Loolman, timu kadhaa pia zimekuwa zikitajwa kumuwania kama Arsenal , Tottenham na Southampton  (Daily Mirror)
  • Eliaquim Mangala na Wilfred Bony wanatajwa kuachwa na Man City mara baada ya kuachwa kwenye safari ya mechi za kujiandaa na msimu kwenye mechi dhidi ya Arsenal (Manchester Evening News)
  • Southampton wameanza mazungumzo na Napoli kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji Manolo Gabbiadini (HITC)

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY