Loading...
TETESI ZA USAJILI NA HABARI ZA KISOKA MAJUU LEO JUMANNE AUGUST...

TETESI ZA USAJILI NA HABARI ZA KISOKA MAJUU LEO JUMANNE AUGUST 9 (9/8/2016) KAMA MAGAZETI YA NJE YALIVYOANDIKA

0

Transfer rumours and paper review – Saturday, August 6: Premier League side bid £72million for James Rodriguez, plus Jurgen Klopp's warning

  • Crystal Palace inampango wa kumuuza nyota wake Bolasie ili kuhakikisha inamsajili Benteke kutoka Liverpool (express)
  • Arsenal wako tayari kutoa Euro millioni 30 na mchezaji Giroud ili kuapata saini ya mchezaji tokea Inter Millan Mauro Icardie (Gazzetta Dello Sports)
  • Leicester wamefunga dirisha lao la usjili kwa kumsajili mchezaji tokea Deportivo La Curunna Lucas Perez kwa ada ya uhamisho ya Euro milllioni 15  (Sports)
  • Chelsea bado wanandoto za Kumsajili Lukaku kutokea katika club ya Everton na sasa wanataka kuweka kiasi cha pound million 65 ili kupata saini ya mchezaji huyo (Express)
  • Shkodran Mustafi ametajwa kama ndiye mchezaji muhimu zaidi kwenye rada za usajili za Arsenal kwasasa, imedaiwa Arsene Wenger yuko katika mikakati mizito kuhakikisha anamnasa (Telegraph)
  • Antonnio Conte ameamua kuhamishia majeshi yake ya usajili kwa Mauro Icardie mchezaji anayechezea nchini Italy katika klabu ya INTER MILLAN (Daily Star)
  • Manchester city wanampango wa kutenga kiasi cha pound million 50 kumsajili mchezaji John Stones ambaye anachezea klabu ya Everton (Express)
  • Liverpool kupambana na Arsenal ili kumsaili Marcelo Brozovic toka katika klabu ya Inter Millan. (Telegraph)
  • Everton wamemtangazia Dau la pound milioni 18  Mchezaji wa Sunderland Lamine Kone wakati huo ikijiandaa kumuuza John Stones anayetajwa kutimkia Man City (Daily mail)
  • Pep Guardiola ametangaza kutaka kumuuza Samir Nasri kwa pound millioni 18, huku Inter na Ac Millan zote zikionyesha uhitaji wa Kiungo huyo. (Daily Star)
Habari Nyingine: ” Christian Ronaldo Haingii kwa Mavugo ” soma kujua ni kauli ya nani tokea Simba HAPA
Tufate Twitter kwa Breaking News Zote za Kisoka na habari nyingine bonyeza HAPA
Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY