USAJILI MANCHESTER UNITED: TIMOTHY FOSU-MENSAH AMEKUBALI KUONGEZA MKATABA MANCHESTER UNITED

USAJILI MANCHESTER UNITED: TIMOTHY FOSU-MENSAH AMEKUBALI KUONGEZA MKATABA MANCHESTER UNITED

0

Timothy Mensah Mchezaji kinda anayecheza nafasi ya Ulinzi Manchester United Amekubali kuongeza mkataba wa miaka minne kuendelea kuchezea Timu hiyo ya jijini Manchester. Taarifa zinasema Mensah anatarajiwa kusaini mkataba huo Ijumaa hii ya tarehe 12/8/2016.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY