USAJILI: SUNDERLAND YASAJILI WACHEZAJI WAWILI KUTOKA MANCHESTER UNITED

USAJILI: SUNDERLAND YASAJILI WACHEZAJI WAWILI KUTOKA MANCHESTER UNITED

0

Timu ya Sunderland imefanikiwa kuwasaini wachezaji wawili wa Manchester United  Paddy MacNair na  Donald Love.
McNair na Love wamesaini mkataba wa miaka minne (4), wachezaji hao wawili wamesajiliwa kwa pound milioni 5.5.
HABARI NYINGINE : Tetesi za Usajili leo tarehe 11/8/2016 bonyeza HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY