VICHWA VYA HABARI KUHUSU YANGA NA SIMBA (KAMA VILIVYOANDIKWA NA MAGAZETI YA...

VICHWA VYA HABARI KUHUSU YANGA NA SIMBA (KAMA VILIVYOANDIKWA NA MAGAZETI YA LEO 7/8/2016)

0


Gazeti la Dimba

 • Ni Historia Yanga yakodishwa kwa miaka 10
 • Mavugo Aanza na Bao la Video Simba(Mashabiki wamvamia uwanjani,Viongozi wafanya kazi Kumchomoa)

Mwanasoka

 • Toroka Uje Simba Day Taifa
 • Simba Imeiva Aisee (Usajili Simba Watikisa Afrika mashariki, Omog: Usajili sasa umekamilika, Majembe matano ya kimataifa sasa hadharani, Mavugo aomba mkataba mrefu msimbazi)
 • Kila Mtu lazima ataipenda Simba
 • Simba Yachimba mkwara kabla ya ligi kuanza

Mzalendo michezo

 • Yanga Neema Tupu

Jambo leo Michezo

 • Manji akodishiwa Yanga miaka 10
 • Simba yafanya Usafi, yasajili wageni 5

Tanzania Daima Michezo

 • Yanga yakodishwa kwa Manji miaka 10
 • Simba day kufikia kilele kesho

Nipashe Michezo

 • Utata Timua Timua Yanga
 • Mavugo awaita Mashabiki Simba Day

Mwananchi Michezo

 • Kwaheri Yanga ya wanachama

Mtanzania Michezo

 • Yanga yakodishwa miaka 10
Kusoma kurasa za mbele magazeti yote ya leo bonyeza HAPA 
Habari Nyingine: Zitto Kabwe Awapiga Bonge ya Dongo Yanga, Soma HAPA
Tetesi za Usajili Majuu leo tarehe 7/8/2016 bonyeza HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY