Loading...
Video ” Moyo Mashine” ya Ben Paul yazidi kufanya Vizuri Tanzania na...

Video ” Moyo Mashine” ya Ben Paul yazidi kufanya Vizuri Tanzania na Afrika kiujumla

0


Video ya Msanii Ben Paul ” Moyo Mashine” imezidi kufanya vizuri kwenye chart mbalimbali za Tanzania na Afrika kiujumla, ambapo kupitia  Top 20 za East Africa Television inashika nafasi ya Pili (2)  IKIWA Imesogea kutoka nafasi ya Tano.

Katika Top 10 za East Africa  za Sound City Tv kituo ambacho kipo nchini Nigeria  video ya BenPaul pia amekamata nafasi ya Pili (2)

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY